English:
When you talk about Carhunt, its a company that I got to know in the time of Corona, it was a time that I really wanted to order a car.
What I am grateful about is that as days went on, I got the important information about my car within the whole ordering process.
I ordered the car at that time, and I got the car in a short time and CarHunt Japan provided me with very good customer service.
Swahili:
Unapuzungumzia carhunt ni kampuni ambayo niliifahamu wakati ni kipindi cha Corona ni kipndi ambacho nilikuwa nina uhitaji mkubwa sana wa kuagiza gari.
Nachoshukuru ni kwamba kila siku zinavyoendelea ni kwamba napata taarifa muhimui kuhusu gari langu lilipofikia na mwendeleeo mzima.
Niliagiza kipindi katika hicho. Nilipata gari kwa haraka na huduma inayohitajika kwa wakati.