English:
CARHUNT JAPAN is a reliable car exporter from Japan. My name is Mr. Chong'u from Arusha Region, Tanzania. My wife Husna and I ordered this truck for our business from CarHunt Japan. We are certainly very satisfied with the service, price, and quality of the car we received from CarHunt Japan. I urge my fellow Tanzanians to trust and use this Company because they have affordable prices, high quality, good service, and exceptional honesty.
Swahili:
CAR HUNT JAPAN Ni kampuni ya uhakika ya uagizaji magari kutoka Nchini japan. Naitwa bwana Chong'u kutoka Mkoani Arusha, Tanzania. Mimi na Mke wangu Husna tuliagiza hili gari kutoka kwa ajiri ya biashara zetu kupitia kampuni ya CarHunt. Kwa hakika tumelizishwa sana na huduma, bei na ubora wa gari tulilolipokea kutoka Japan kupitia Kampuni ya CarHunt. Nawapa hamasa watanzania wenzangu kuiamini na kuitumia Kampni hii kwasababu wanabei nafuu, ubora wa hali ya juu, huduma nzuri na uaminifu wa kipekee.