English:
I have received the car in time like it was supposed to come. It is a very good car it is more than I expected it to be. It doesn't have any problems or scratches. I thank you so much and the next time I want to buy a car you will be the first people I will think of.
Swahili:
Gari nimepokea kwa wakati uliotakiwa na nimelipenda sana. Ni gari zuri sana na ni zaidi ya vile ambavyo nilikuwa nawaza litakuwa. Halina tatizo lolote wala mikwaruzo yoyote. Nawashuku sana na nikitaka kununua gari jingine mtakuwa watu wa kwanza kuwafikia.